Jinsi ya Kuweka Tangazo katika Blog ya Ilooktz
Email
tuma email ukionesha vitu vifuatavyo
1.Jina la Bidhaa
2.aina ya bidhaa (model).
3.Sifa (specifikation)
4.eneo muuzaji alipo.
5.mawasiliano(simu,email,whatsapp nk)
6.Picha za bidhaa halisi.
7.Iwapo una safirisha mikoni,au kuuza eneo ulilopo tu.
ikiwa ni kwa kuitangaza biashara yako.
1.Jina la Biashara.
2.Eneo ilipo biashara yako.(mkoa,wilaya,mtaa na jirani na)
3.aina ya biashara yako.
4.muda wa kazi wa biashara yako.
5.bidhaa zipatikanazo katika biashara yako.
6.muuzaji wa jumla au rejareja.
7.mawasiliano ya biashara yako.
8.mfumo wa malipo unao utumia.
9.maelezo kuhusu miashara yako.
Kuweka Tangazo katika Ukurasa wa mbele wa Blog hii(Slideshow).
sehemu hii in picha pekee yenye ukubwa wa 790x320.
hakikisha picha ya tangazo lako sio ya ngono,wala matusi yoyote yale.
gharama yakuweka tangazo sehemu hii ni shilingi 250 kwa siku.
mteja atalipia kwa muda wa mwezi mmoja.
tuma picha ya tangazo lako liwe na ukubwa wa 790x320 kupitia email yetu ukiambatanisha na muda wa kuonekana katika ukurasa....
Jinsi ya kulipia tangazo lako katika ilooktz.
ilikuweza kuboresha huduma zetu na kuweza kufikisha ujumbe katika jamii yote na popote pale hutu gharimu garama kadha wa kadha.
malengo yetu ya baadae ni kuweza kurusha vipindi katika TV na radio naha katika mitandao mingine kama google na kuongeza rank.
Mteja atawajibika kulipia kiwango cha shilingi 50 za kitanzania kama gharama ya kuwepo kwa tangazo lake katika ilooktz kwa siku moja.hii inamaana atalipia kwa mkupuo shilingi 1500tsh kwa mwezi tangazo lake kuwa hewani.
tangazo litaweka pingi litakapotufikia na mteja atalipia shilingi 1500Tsh kupitia Mpesa/tigo pesa.
baada ya tangazo kuweka ni litakua trial kwa kufichwa mawasiliano ya muuzaji.mpaka pale litakapolipiwa shilingi 1500tsh.
kila tangazo litapewa ID na mteja na litakuwa na muda wa kuwa hewani min. ni siku 35days.
Taratibu za kulipia:
MPESA 0758489123 (REGNALD SHIRIMA)
tuma 1500TSH pekee.
kisha tuma SMS inayothibitisha Muamala huo kwa email/au namba ya simu ikiwa na majina ya mtumaji na jina la tangazo lako.
Kuwa na ukurasa wa kipekee(ilooktzpages) katika Ilooktz.
hii ni program itakayo kuwezesha kuwa na ukurasa wa biashara yako katika blog ya ilooktz
ukurasa huu utahusika na kutangaza biashara yako,bidhaa zako sehemu moja.
faida za kumiliki ukurasa katika ilooktz
1.kuweka tangazo katika Slideshow banner ukurasa wa mbele wa blog.
2.kuweka slideshow katika ukurasa wako.
3.kutangaziwa bidhaa 10 bure kwa muda wa tangazo kuwepo.
4.ukurasa wako kuweka katika mitandao ya kijamii,google ads,nakadhalika
5.jina la biashara yako kujkulikana haraka.
6.kufanyiwa marketing directs.
Gharama za ukurasa.
Dhahabu Page: 1000tsh per day
1.supported Monthly.
2.unique link in all pages.
3.Kutengenezewa matangazo yatakayo kuwa katika Slideshows home page.
4. Marketing offer.
5.matangazo 20 bure.
6 kufanyiwa mabadiliko pindi uhitajipo
7.slideshow
8. videos
9. primium colorfull theme
Silver Page: 700Tsh Per day.
1.supported for 6days per month.
2.unique link in home page.
3.matangazo 10 bure.
4.kufanyiwa mabadiliko mara 10 kwa mwezi.
5.slideshow
6. 3 colorful theme
bronze Page: 400Tsh per day.
1.support 3days per month.
2.matangazo 5 bure.
3.kufanyiwa mabadiliko mara 5 kwa mwezi.
4.single image banner.
5. default theme
kulipia kurasa wako.
iwapo umechagua dhahabu page utalipia shilingi 30,000ths kwa mwezi.
iwapo umechagua silver page utalipia shilingi 21000tsh kwa mwezi.
iwapo umechagua bronze page utalipia 12000tsh kwa mwezi.
kila page itapata mwezi mmoja bure kuwa hewani
pindi malipo yatakapo fanyika....
kwa maelezo zaidi:
+255758489123 Regnald shirima
+255658489123 Regnal shirima.
Follow admin on
Tweeter: @shirima11<br/>
ilooktz Projects Tanzania Limeted
HQ Kilimanjaro Holili
copyright 2015
Post Review